Nyaraka za siri zagunduliwa nyumbani kwa Makamu wa Rais wa zamani Pence

Your browser doesn’t support HTML5

Nyaraka  zenye alama za siri zimegunduliwa  nyumbani kwa aliyekuwa  Makamu wa Rais Mike Pence huko Indiana  wiki iliyopita, wakili wake  ameiambia Idara ya  Hifadhi ya Taifa.