Matukio katika picha

Ni siku ya mvua mjini Washington, huku majani ya miti yakiwa yamebadilika rangi na kuanguka katika eneo la bunge.

Vikosi maalumu vya poland vikifanya mazoezi ya pamoja ya mashambulizi ya kemikali mjini Warsaw.

Madaktari wakimtibu mtu aliyejeruhiwa na vikosi vya syria

Mama wa kijana  polisi aliyeuwawa katika mlipuko wa Tianjin , huko China.

mwanamke akiwanya kinywaji cha Wine akiwa ndani ya maji moto huko tokyo Japan.

Muogeleaji kutoka ufaransa akishiriki katika mashindano ya kuogelea ya mita 200 huko Angers, magharibi mwa ufaransa.