November 16, 2016

Vifaa na maua ya kumbukumbu mahali pa tukio la shambulizi la kigaidi Paris, Ufaransa.

Rais wa Ufaransa Francois Hollande akinyamaza kwa dakika moja kuwakumbuka wote walioathiriwa na makasa wa shambulizi la kigaidi mjini Paris kabla ya kutoa hotuba kwenye ukumbi wa Versailles castle.

Gurudumu lililorembeshwa lazunguka usiku kwenye mji wa Paris.

 Wanafunzi wa shule za upili wakiandamana karibu na Le Mans, kaskazini magharibi mwa Ufaransa ikiwa kumbukumbu ya watu 129 waliouwawa na watu wanaodaiwa kutoka kwa kundi la Islamic State.

Mwanaume akimbia na wanawe wawili baada ya hali ya taharuki kutanda miongoni mwa waombolezaji kwenye hoteli moja ilioathiriwa na shambulizi la kigaidi mjini Paris.

የሀዋሳ ኢንዱስትሪ ፓርክ

 Vikosi maalum vya Ubelgiji vikifanya msako wa kutafuta wanamgambo mjini Brussels.

A woman stands in front of police as Filipino laborers clash with police in the Makati section of Manila during protests to raise issues as world leaders arrive for the Asia-Pacific Economic Cooperation (APEC) Summit this week.

Wataalam wa NASA waonyesha picha ilopigwa kupitia sattelite na ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Picha ya sattelite yaonyesha mabadiliko ya joto kwenye bahari ya Pacific kutokana na athari ya El Nino.

Wahamiaji na wakimbizi watembea karibu na mapaka wa Ugiriki na Macedonia karibu na Gevgelija.

Wanawake watembea kwenye ardhi iliofunikwa na theluji huko Almaty, Kazakhstan.