Novavax yaomba kibali cha dharura kusambaza chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya dawa ya Novavax inaeleza takwimu za awamu ya mwisho za utafiti wake wa chanjo dhidi ya COVID-19 inaonyesha ina mafanikio kwa zaidi ya asilimia 90 na inaomba kibali cha dharura kutumika.