Novak Djokovic aondolewa katika mashindano ya US Open

Your browser doesn’t support HTML5

Mshindi wa mchezo wa Tennis katika mashindano makubwa 17 aondolewa katika mashindano ya US open yanayofanyika nchini Marekani.
Kwa hasira baada ya kupoteza mchezo alipiga mpira kwenye ukuta nyuma yake na ukarudi kwa nguvu na kumpiga muamuzi shingoni na hivyo kuanguka huku akishindwa kupumua.