Uchaguzi DRC : Nini wanachosema Raia wa DRC wanaoishi uhamishoni?

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Congo wanaoishi uhamishoni wakifuatilia uchaguzi mkuu nchini DRC
Ikiwa imebakia wiki moja uchaguzi wa urais kufanyika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), inahofiwa raia wengi wa nchi hiyo huenda wasiweze kupiga kura.