Nini kinachofanya kahawa ya Geisha inayozalishwa Panama kuwa bora?

Your browser doesn’t support HTML5

Japan, Taiwan, China, Korea Kusini, Indonesia, Singapore na Australia ni baadhi ya sehemu zinazotumia kahawa ya Geisha ya Panama. Lakini ni nini inachofanya kahawa hiyo kuwa bora zaidi.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu sababu zilizofanya kahawa hii kuweza kuzalishwa Panama pekee yake. Endelea kusikiliza...