Nigeria yapoteza mapato kwa asilimia 6.1 kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Nigeria yaendelea kukabiliwa na tatizo la kupoteza mapato na wananchi wapoteza ajira huku biashara zikiwa hazina fedha.