Nigeria Protests : Maandamano dhidi ya polisi yasababisha uharibifu Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wachoma moto magari na kuharibu maduka na benki eneo la Jos, Nigeria, wakati wa maandamano dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu unaodaiwa kufanywa na Jeshi la polisi nchini Nigeria.