New York kutekeleza sharti la wateja kuthibitisha wamechanjwa

Your browser doesn’t support HTML5

New York yaanzisha utaratibu wa sharti la mtu yoyote mwenye umri wa miaka 12 na zaidi anayetaka kuingia katika sehemu ya biashara ni lazima aonyeshe uthibitisho wa kuwa amechanjwa dhidi ya COVID-19.