New York yakabiliwa na tatizo la wahamiaji

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii tunaangazia suala la wahamiaji, wakati mji wa New York ukiendelea kupokea zaidi ya wahamiaji 10,000 kila mwezi, na kuzua wasi wasi miongoni mwa wakazi, kuhusu uwezo wa mji huo kumudu wimbi hilo.