New York: Rais Biden alihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amehutubia Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo wakuu wa nchi duniani wanakutana kujadiliana masuala mbalimbali mjini New York, Marekani

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari