New Delhi yatajwa kuwa na hewa chafu zaidi duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Taasisi ya Uswis inayopima usafi wa hewa duniani imetaja New Delhi, India, kuwa mji wenye hewa chafu zaidi duniani kwa mara ya tatu mfululizo.