NEC yaeleza kukamilika kwa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati ikiwa imebaki siku moja kupiga kura Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaeleza kukamilika kwa sehemu kubwa ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania.