Ndoa za utotoni eneo la Sahel Afrika zakithiri
Your browser doesn’t support HTML5
Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa nchi za Afrika katika eneo la Sahel zimekuwa na viwango vya juu vya ndoa za utotoni, huku wasichana wangi wakiolewa kabla ya kufikia umri wa miaka 18.