Nauli na bei ya bidhaa muhimu huenda zikapanda Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Nauli na bei za bidhaa muhimu huenda zikaongezeka Kenya baada ya mamlaka husika kuongeza bei ya mafuta ikitokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.