NATO yakutana Brussels kujadili utatuzi wa mfululizo wa mashambulizi ya Russia nchini Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa Ulinzi wa nchi wanachama wa NATO wanakutana mjini Brussels, Ubelgiji kujadili jinsi ya kujibu mashambulizi yanayofanywa na majeshi ya uvamizi ya Russia nchini Ukraine.

- IMF inasema kasi ya kukua uchumi mwaka 2023 itapungua duniani.