NATO yaifahamisha Russia iko tayari kuendeleza diplomasia

Your browser doesn’t support HTML5

NATO yaeleza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo na Russia lakini pia imejiandaa kukabiliana na hali yoyote mbaya itakayotokea katika mzozo wa Ukraine.