Nani yuko katika orodha yako ya wachezaji wa soka bora zaidi wa Afrika wanacheza hivi leo?

Your browser doesn’t support HTML5

Hii hapa orodha ya Siku ya Mechi ya VOA ya wanasoka watano bora wa Afrika waliocheza. Baadhi ya wachezaji wanajulikana sana na wengine huenda hujawasikia bado.