Namna Tanzania ilivyo kabiliana na janga la Corona 2020
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati mwaka 2020 ukimalizika Tanzania inaendelea na kukabiliana na janga la corona kwa kutumia mitishamba na kuwataka wachukue tahadhari huku wananchi wakiruhusiwa kuendelea na shughuli zao kama kawaida.