Namna Biden anavyo heshimika kwa uzoefu katika uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Biden asisitiza watu wa taifa la Marekani wamezungumza,"wametupatia ushindi mkubwa," na wengi wanakiri kuwa ni gwiji katika uongozi.