Naibu Rais Ruto amuomba Rais Kenyatta msamaha

Your browser doesn’t support HTML5

Naibu Rais William Ruto amemuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya viongozi hao kutumbukia katika mvutano baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2018.

- UN yasema zaidi ya watu 80,000 wamekoseshwa makazi kutokana na mapigano DRC na wanauhitaji mkubwa wa chakula.

- Watoto wachanga wafariki kutokana na ajali ya moto hospitalini, Senegal.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari