Mzozo wa Sahel Magharibi wachukuwa sura mpya, mauaji yaongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati mzozo wa Sahel Magharibi ya Afrika ukiingia mwaka wake wa 11, kuanzia mapinduzi ya Mali mwaka 2012, ghasia zimekuwa mbaya sana. Takwimu zinaonyesha vifo 90,000 vinatokana na mzozo mwaka 2022 katika eneo hilo ikilinganishwa na idadi ya vifo 6,000 mwaka jana.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili juu ya namna ongezeko hilo la vifo linavyoonyesha ukubwa wa mgogoro huo. Endelea kumsikiliza...