Mzozo unaotokana na upungufu wa maji waua 22 Cameroon

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano Cameroon yaacha watu 22 wameuawa na wengine kujeruhiwa kufuatia mzozo kati ya wavuvi, wafugaji na wakulima kutokana na upungufu wa maji.