Myanmar : Kesi ya Suu Kyi yasikilizwa, aaongezewa mashtaka mawili

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa Myanmar, Aung San Suu Kyi, kesi yake imesikilizwa kupitia mawasiliano ya video na ni mara ya kwanza kwa mawakili wake kumuona tangu kukamatwa Februari 1.