Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall kukutana na Rais Putin
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Senegal na mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika anatarajiwa kukutana leo Ijumaa mjini Moscow na Rais wa Russia Vladimir Putin. Je Sall atafaulu kumshawishi Putin kumaliza vita vya Russia huko Ukraine?