Mwendesha pikipiki maarufu wa Ufaransa afariki

Your browser doesn’t support HTML5

Mwendesha pikipiki mashuhuri wa Ufaransa Pierre Cherpin amefariki baada ya kuanguka na pikipiki yake katika hatua ya saba ya mashindano ya Dakar.