Mwendesha mashtaka amshutumu Waziri Mkuu wa Haiti

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo wa kisiasa wa Haiti umezidi kuwa mbaya baada ya Waziri Mkuu Ariel Henry, Jumanne kumfuta kazi mwendesha mashtaka wa umma.
Mwendesha mashtaka Bed Ford Claude alimshutumu Waziri Mkuu huyo kuwa alihusika katika mauaji ya Rais Jovenel Moise Julai saba.