Mwandishi wa riwaya aliyeteswa Uganda awasili Ujerumani kwa matibabu
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi wa vitabu wa Uganda Kakwenza Rukirabashaija awasili Ujerumani ili kuweza kupatiwa matatibabu baada ya kuteswa akiwa gerezani Uganda na hatimaye kufanikiwa kukimbia kutoka nchini humo.