Mwandishi anayeishi uhamishoni asema uhuru wa habari umezidi kudidimia Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Makala Maalum ya simulizi ya mwandishi wa habari za kibiashara wa Zimbabwe ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni Canada anaeleza kuwa uhuru wa habari umezidi kupungua nchini humo.