Mwanaume mweusi apigwa risasi kisogoni na kuuwawa Michigan

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanaume mwafrika mweusi ambaye aliweka uso wake chini kwenye ardhi alipigwa risasi kisogoni na afisa wa polisi wa Michigan kwa mujibu wa picha ya video iliyochukuliwa Aprili 4, 2022 ambayo inaonyesha kuzuka kwa ghasia na kukimbizana kwa miguu kugombania silaha.