Mwanasiasa wa Uganda Bobi Wine aachiwa kwa dhamana Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Kabla ya kupewa dhamana mgombea urais Bobi Wine amefunguliwa mashtaka ya tuhuma za vitendo ambavyo vingeweza kusababisha kuenea kwa virusi vya corona.
Idadi ya walioambukizwa COVID-19 nchini Marekani imeongezeka na kufikia milioni 12.
Maafisa wa afya Kenya wawalaumu wananchi kwa kushindwa kufuata masharti ya kudhibiti virusi vya corona.