Mwanamke aeleza madhila aliyokutana nayo Saudi Arabia
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanamke raia wa Kenya aeleza manyanyaso ya kijinsia na kimwili aliokumbana nayo nchini Saudi Arabia aliipokwenda kutafuta maisha na kupata kinyume na kile alichoahidiwa.