Mwanamazingira Kenya anavyowasaidia wananchi

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamazingira Kenya aliyewahi kupokea tuzo la kimataifa la Goldman Environmental 2015 aendelea kuwa chachu ya kupambana na uharibifu wa mazingira na kuwatetea wananchi.