Mwanahistoria anashauri viongozi wa Afrika kusuka upya mifumo ya kiutawala
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanahistoria aeleza umuhimu wa kusuka upya mifumo ya kiutawala ili kuweza kukabiliana na masuala kama vile COVID-19, mabadiliko ya tabia nchi, kuboresha huduma za afya na kuhakikisha usalama wa chakula barani Afrika.