Mwanaharakati mwanamke afungwa miaka sita Saudi Arabia

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama moja nchini Saudi Arabia imemhukumu mwanamke mwanaharakati wa haki za binadamu Loujain al-Hathloul kutumikia kifungo cha karibu miaka sita.