Mwanahabari aliyeko uhamishoni aeleza hali ya waandishi Burundi
Your browser doesn’t support HTML5
Makala Maalum inakuletea simulizi ya mwanahabari wa Burundi anayeishi uhamishoni anasimulia changamoto ya kufanya kazi ya uandishi na serikali iliyoko madarakani nchini humo.