Mwanafunzi wa miaka 15 adaiwa kuua wanafunzi wenzake 3

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi wasimulia shambulizi la bunduki lililotokea katika shule ya sekondari ya Michigan ambapo wanafunzi watatu waliuawa na wengine kujeruhiwa.