Mwamoyo Hamza afafanua juu ya marudio ya uchaguzi wa Georgia

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) Mwamoyo Hamza afafanua kwa nini jimbo la Georgia, Marekani lililazimika kufanya uchaguzi wa marudio kwa mujibu wa sheria za jimbo hilo.