Mwalimu aeleza jinsi alivyopoteza kipato baada ya mlipuko wa COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Mwalimu Brenda Kamugisha aeleza jinsi alivyopoteza kipato baada ya wakurugenzi wa shule kusema hawana pesa za kuwalipa walimu kutokana na janga la COVID-19.