Mvua yasababisha mafuriko katika mji wa Gurugram, India

Your browser doesn’t support HTML5

Mvua kubwa zimesababisha mafuriko katika mji wa Gurugram, India, Jumatano, Agosti 19, na kuzusha taharuki kwenye mitaa ya mji huo iliyofurika na maki na kusababisha msongamano mkubwa wa magari