Muungano wa upinzani Tunisia wapinga utawala wa Rais Saied
Your browser doesn’t support HTML5
Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tunisia umetoa wito wa kupinga utawala wa Rais Kais Saied baada ya asilimia 11.3 pekee ya wapiga kura kushiriki kwenye duru ya pili ya uchaguzi wa bunge katika taifa hilo ambalo limegawanyika kisiasa. Endelea kusikiliza ...