Muungano unaopendelea demokrasia wasaini mkataba wa serikali ya kiraia ya mpito

Your browser doesn’t support HTML5

Ushirika unaounga mkono demokrasia nchini Sudan wa Forces of Freedom and Change umesaini makubaliano ya awali na jeshi ili kurejesha utawala wa kiraia baada ya mapinduzi ya mwaka jana. Makubaliano haya yanaruhusu uongozi wa mpito wa kiraia wa miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu.

Sudan imeingia katika ukosefu wa uthabiti wa kisiasa kwa karibu miaka minne baada ya rais Omar al-Bashir kuondolewa madarakani kufuatia maandamano ya umma. Sudan imeingia katika ukosefu wa uthabiti wa kisiasa kwa karibu miaka minne baada ya rais Omar al-Bashir kuondolewa madarakani kufuatia maandamano ya umma.