Museveni huenda akaahirisha uchaguzi kutokana na janga la corona

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Museveni asema kuandaa uchaguzi wakati wa janga la corona ni hatua ya kiwendawazimu.