Museveni aongoza matokeo ya awali ya uchaguzi Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Yoweri Museveni aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda
Wanajeshi wazingira nyumba ya Mgombea wa urais kwa tiketi ya upinzani Uganda Bobi Wine kukataa matokeo yaliyo tangazwa na tume ya uchaguzi.

-Rais mteule Joe Biden azindua mpango maalum wa kupambana na COVID-19.