Muonekano mpya wa sayari na nyota za mbali wajadiliwa na wanasayansi

Your browser doesn’t support HTML5

Wanasayansi watafakari picha mpya za muonekano wa sayari na nyota za mbali zilizopigwa na darubini ya kipekee ya aina ya Jame Webb Telescope iliyorushwa katika chombo cha anga za juu.