Muhtasari wa Habari: Matukio mbalimbali yaliyojiri wiki hii duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Mji maarufu duniani wa Lagos, nchini Nigeria umeanza kutekeleza amri yake ya kupiga marufuku usafiri wa bodaboda.

Mamlaka ya kiuchumi Nigeria ilitangaza marufuku hiyo wiki mbili zilizopita.

Pia Mwandishi wetu Mary Mgawe anakusomea habari nyingine mbalimbali endelea kumsikiliza...