Muda maalum uliyotolewa na Russia kwa wapiganaji wa Ukraine kujisalimisha wamalizika

Your browser doesn’t support HTML5

Muda maalum uliyotolewa na Russia dhidi ya wapiganaji wa Ukraine waliopo katika eneo la Mariupol umemalizika Jumatano mchana.

- Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF, limebadili makadirio yake kwa kupunguza kiwango. cha ukuaji uchumi kote duniani kuwa 3.6%.

- Shirika la Wanyamapori lasema limelazimika kuingilia kati kuokoa baadhi ya wanyama walioathiriwa na ukame kwa muda mrefu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari