Shirika la Tuwajali Wajane lawafikia wajane 200 Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Tuwajali Wajane lapiga hatua kwa kuwafikia wajane 200 kwa kuwapa mafunzo juu ya haki zao na namna ya kuanzisha biashara ndogondogo na ukulima nchini Kenya.