Mteule wa Trump huenda akaidhinishwa kabla ya uchaguzi Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Jaji mteule wa Rais Donald Trump katika Mahakama ya Juu Marekani Amy Coney Barrett huenda akaidhinishwa na Baraza la Seneti kabla ya Uchaguzi Marekani Novemba 3, 2020, ambaye ni mrithi wa hayati Jaji Ruth Bader Ginsburg.